WAUGUZI KUFANYA KAZI KWA PAMOJA KWA LENGO LA KUSAIDIA AFYA ZA WANANCHI

Mkuu wa chuo cha wauguzi kutoka agakhan university ya kenya professor sharon amewataka wauguzi kufanya kazi kwa pamoja kwa lengo la kusaidia afya za wananchi na kuepukana na vifo ambavyo vinaweza kuepukika
Amesema hayo wakati akizungumza na viongozi wa wauguzi katika hospital ya mnazimmoja katika ziara yake ya kutembelea wauguzi la lengo la kunyanyua taluma ya waunguzi na wakunga.
amewata waguzi kujiendeleza kimasomo ili kuweza kujua mambo mbali mbali yanayotokea diniani yanasusiana na waguzi ili kuweza kuyatathini na kuweza kuyafabyia kazi
Mwenyekiti wa baraza la waaguzi amina abdulkadiri amewataka waguzi kufanyakazi kwa kujiamini na kufata maadili na sheria za waguuzi ili kuweza kuleta ufanisi katika kazi zao.
Nao waguzi hao wamesema wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbali mali ikiwemo kutambulika umuhimu wao katika jamii pamoja na kuwepo na mishahara midogo mbayo haitoshelezi kulinganisha na kazi zao.