WAZAZI WATAKIWA KUWAHIMIZA WATOTO WAO KUHIFADHI QUR-AN

 

wazazi  na walezi wametakiwa kushirikiana katika kuwa himiza watoato wao  katika kufanya mmbo ya kheri ikiwemo ya kuhifadhi kur-ani.

akizunguma katika hafla ya mashindano    makuu kanda ya bububu amiri wa makuhifadhisha  qurani   kanda ya zanziba mwali sleiman omar ahmadi amesema endapo mzazi  atamshajihisa mtoto wake katika mambo ya kheri ataweza kuinusuru jamii na mabo maovo.

maalim suleimani amesema azma ya wailamu kufikia lengo lakuwa kila  mtu aweze kuhifadhi kitabu kitukufu miaka ya mbele  ili kukinunururu kitabu hicho   kwa kiwango kikubwa.

nae amiri mkuu wa jumuiya ya kuhifadhisha  qur-ani  zanzibar kanda  ya bububu maalim daudi  sharifu omar amesema jumuiya hiyo bado inakabiliwa na matatizo ya mashirikiano madogo kati ya walimu  wazazi  walezi na  jambo linalo warudisha  nyumba katika kuendeleza mambo ya kheri.

katika mashindano hayo  juzuu zilizo shindaniwa ni juzuu  moja ,tatu,tano, kumi,na kumi na tano kwa upande wa hifdhi na tashjii takhkikiq ni juuzuu moja,tatu, na saba ambapo katika juu kumi na tano mshindi wa mwanzo ni uzeir  abdallah  sai said, na juzuu  saba tashjii takhkiq ni  nasriya haji  wote wamezawadiwa fedha taslim na misahafu.