WAZEE WALIOANZIA MIAKA MIAMOJA (100) NA KUENDELEA KISIWANI PEMBA KUPEWA ZAWADI

 

miongoni mwa wazee walioanzia miaka miamoja (100) na kuendelea kisiwani pemba wamezawadiwa zawadi ya vyakula na fedha taslim

zawadi hizo zimetolewa na mkuu wa idara ya wazee na ustawi wa jamiipembaabduusalim mohammed kwa niaba ya wizara ya kazi uwezeshaji wazee wanawake na watoto

kwa kuwapelekea maeneo wanaishi wazee hao na kutoa shukrani zao

akitoa shukurani zake miongoni mwa mtoto wa wazee  hao alikuwa na haya ya kusema

nae katibu wa jumuiya ya wazee na wastaafu salim ali mata ambae aliongozana na mkuu wa idara ya wazee katika utoaji zawadi hizo alishuruku serikali ya mapinduzi ya zanzibar kwa kuwajali wazee hao na kuwafariji

jumla ya wazee kumi kutoka maeneo mbali mbalikisiwani pemba wamebahatika kupatiwa zawadi hizo