WENYEVITI WA KAMATI ZA MAAFA WAMETAKIWA KUCHUKUWA TAHADHARI

 

 

 

 

Wenyeviti wa kamati za wilaya za kukabiliana na maafa wametakiwa kuchukuwa tahadhari kwa kuwaelimisha wananch juu ya hatua stahiki wanazopaswa kuchukuwa wakati mvua za masika zitakaponyesha.