WIZARA YA ELIMU KUFANYA UTAFITI ULIOABABISHA UFAULU MDOGO

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi dr, Ali Mohammed Shein ameuagiza uongozi  wa wizara ya elimu  na uongozi wa mkoa kusini pemba  kufanya utafiti ulioababisha ufaulu mdogo kwa  wanafunzi wa mkoa huo.

Amesema lazima serikali ijuwe sababu halisi ili  iweze Kupanga mikakati madhubuti ambayo itanyanyua

Ufaulu wa masomo ya sayansi na arti kwa wanafunzi Wote.