ZAIDI YA WANANCHI MIA TATU WA KIJIJI CHA NUNGWI WAMEJITOKEZA KUPIMA AFYA ZAO

 

Zaidi ya wananchi miatatu wa kijiji cha nungwi wamejitokeza kupima afya zao na miongoni mwao kugundulikana na tatizo LA macho presha na masikio pamoja na meno tatizo ambalo linachangiwa na utumiaji Wa vitu vya sukari huku wakishauri kufanya mazoezi ili kuondokana na maradhi nyemelevu.liloendeshwa na zop kwa kushirikiana na zura lengo ikiwa kutoa huduma za afya vijijini  Katibu Wa zbar  outreach program Dr naufal Kassim amesema Mara nyingi wanapoendesha zoezi LA upimaji afya maradhi yanajitokeza kwa wananchi NI matatizo ya macho meno sikio na presha na kuwataka kuacha na vyakula vyenye kuleta athari hizo  huku akiwataka tasisi nyengine  za serikali na zisizo za kiserikali kuiga mfano kama zura ilikuelekeza huduma za afya vijijini .paused nao kwa upande Wa mamlaka ya udhibiti Wa huduma za maji na nishati zbar zura imesema Mara nyingi wamekuwa wakielekeza utoaji wa huduma kwa jamii na  mara hii wameelekeza ktk afyakwa kushirikiana na zop  huko nungwi kwa vile huduma hizo wengine hawana uwexo nao kama anavyoeleza kaimu mkuu kitengo cha mawasiliano  zura khudhaimaty bakari. nae  mjumbe Wa Sheha na wananchi mbali mbali waliofika katika zoezi hill wameishukuru watoaji Wa huduma hiyo kuwafikia kijijini kwako kwani matatizo ya afya wanayo ikiwemo macho presha masikio  sukari  na kuzitaka tasisi  nyengine kuiga mfano kama  huo.