ZANZIBAR MWANACHAMA WA 55 WA SHIRIKISHO LA SOKO BARANI AFRIKA (CAF).

Zanzibar imekubaliwa kuwa mwanachama wa 55 wa shirikisho la soko barani afrika (CAF), katika kura zote 54 zilopigwa ni kura 3 pekee zilizokataa, na kura 51 zimepigwa kwa kura ya ndio.