ZANZIBAR ITAENDELEA KUWA MSHIRIKA MKUBWA WA OMAN

Makamo wa pili wa rais wa zanzibar balozi seif ali iddi Amesema zanzibar itaendelea kuwa mshirika mkubwa Wa oman kutokana na historia nzuri iliyopo baina ya Wananchi wake.Amesema oman imejitolea kuunga mkono harakati za Maendeleo ya kiuchumi ya zanzibar kupitia ushirikiano Ulioasisiwa na viongozi wakuu wa mataifa hayo.