ZANZIBAR ITAHAKIKISHA INAWASAIDIA WANAFUNZI WA SKULI YA LUMUMBA KIDATO CHA 6WALIOKO KAMBI

 

Wizara ya elimumafunzo ya amali  zanzibar itahakikisha inawasaidia wanafunzi wa skuli ya lumumba kidato cha 6walioko kambi kwa kuwapatia msaada wa chakula  ili waweze kufanya vizuri mitihani yao na  kuirejeshea hadhi yake ya ufulu skuli  hiyo.

Akizungumza na wanafunzi wa skuli hiyo waziri wa elimu mafunzo ya amali mhe Riziki pembe juma  wakati akiwakabidhi mchele kilo 360 kwa ajili ya wanafunzi wakike49 walioko kambi ikiwa ni ahadi yake aliyoiahidi kwao.

Amesema matumaini yaliopo kwa wanafunzi waliochukua masomo ya sanyansi ni kuona wanafanya vyema katika mitihani yao  kwani walimu  walionao wanasifa ya ufundishaji na vifaa vya ufundishaji vipo vya kutosha kwa skuli hiyo  hivyo hakuna sababu kwa wanafunzi hao kufeli.

Riziki amesema ni vyema kwa wanafunzi hao kuwa na mikakati ya kujiepusha na vishawishiv isivyo nafaida kwao badala yake kukubaliana na kauli mbiu yao ya kudelete division four three na zero pause

Nae naibu waziri mhe Mjengo Mjawiri na pamoja na naibu katibu taaluma wema bi madina issa wameahidi pia kuwachangia wanafunzi hao walioko kambi ili kuona wanafunzi waliochukua masoma ya sanyasi wanafanya vizuri katika mitihani yao kwa lengo la kupata wataalamu wengi wa kike.pause

Kwa upande walimu hao wakitoa shukrani wameahidi kuutumia msaada huo kama ulivyokusudiwa ili kutimiza ndoto za wanafunzi hao