ZATUK KUWAELIMISHA WANACHAMA WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI ILI KUJUA HAKI ZAO ZA MSINGI

Shirikisho la vyama vya wafanyakazi zatuk kwa kushirikiana na shika la msaada la ujerumani fess wamefanya semina ya kuwaelimisha wanachama wa vyama vya wafanyakaazi ili kujua haki zao za msingi .
Hayo yameelezwa na katib wa vyama vya wafanyakazi zanzibar nd khamisi mwinyi wakati akifungua semina ya wafanyakazi huko weles amesema lengo ni kuwapatia ujuzi wafanyakazi na kujua haki zao za msingi .
Afisa mradi shirika la kijerumani anna mbise amesema hivi sasa vijana na wanawake asilia kubwa imeongezeka ukilinganisha na kipindi cha nyuma kwa kujua sheri zilizo wekwa ,hivyo amewataka vijana na wawanawake kuitumia vyema elimu waliyopewa.
Miongioni mwa wanachama walio shiriki semina hiyo wamesema wataitumia vyema katiba kwakufuata muongo na kuwaelimisha wenzao.