ZAWA KUENDELEA NA ZOEZI LA KUWAKATIA MAJI WANACHI WASIOLIPA

 

Mamlaka ya maji  zanzibar zawa imesma itaendelea na zoezi la kuwakatia maji  wanachi wanaopata huduma ya  maji safi nasalama  katika maeneo mbali mbali endapo watashindwa kulipia huduma ya maji  na kuiba maji kinyume na sheria .

wakizungumza na  zbc  mdhibit wa madeni  zawa ndug  asma  ameir amesema sababu ya kuwakatia maji wanachi hao  ni kitendo walichokifanya cha kiba  maji bila kufuata sheria zilizowekwa  na kwenda kinyume ndipo  wameamua kuwakatia maji bila ya kulipa deni wanalodaiwa maeneo ya mwembe ladu.

kwa upande wao wanachi waliokatiwa maji hayo wameelezea  matatizo yaliojitokeza kati yao na mamlaka ya maji zawa  kwa kutofahamiana na huamua kutupiana lawama baada ya kukatwa maji hayo.

msaidizi  mwanasheria ndgu  rabia  masheko   alikuwa na haya yakusema  kwa kuwataka wanachi kulipa maji kabla ya kuchukua hatua za kisheria