ZEC IMEJIPANGA NA KUHAKIKISHA WANALIFANIKISHA ZOEZI HILO KWA MUJIBU WA SHERIA

 

Msimamizi a uchaguzi  mdogo wa jimbo la jangombe  mwanapili khamisi amesema  tume  ya uchaguzi zec imejipanga  na kuhakikisha wanalifanikisha zoezi  hilo kwa mujibu wa seria na kila mwenye haki ya kupiga kura  anapata haki yake

Akizungumza na  zbc baada  ya  kupokea  fomu za wagombea nafasi ya uakilishi  kwa vyama  tisa ambayo vimejitokeza kugombea nafasi hioyo  iliyokuwa wazi baada ya mwakilishi wake kufukuzwa uanachama amesema kwasasa zoezi la kurejesha fomu limekamilika na kuendea na  hatua nyengine kama zilivyo tatatibu za  uchaguzi

baadhi ya  wagombea  na viongozi  wa vyama hivyo  wamesema kuwa  katika  kufikiha hhua hiyo  watahakikisha wanaendeleza amani  na utulivu kukamilisha zoezi  la uchaguzi huo linafanikiwa