ZECO YAIMARISHA UHUSIANO MZURI ULIOPO KATI YA SHIRIKA HILO NA MASHEHA

Shirika la umeme Zanzibar ZECO limesema litaendeleza wote wa wilaya ya mjini. Uhusiano mzuri uliopo kati ya shirika hilo na masheha

Akizungumza na masheha wa wilaya ya mjini afisa uhusiano wa shirika hilo Nd. Salum Abdallah Hassan amesema ushirikiano uliopo kati yao imeweza kuibuwa masuala mabali mbali ya kiutendaji katika shehiya

Amewataka masheha kuzidisha mashirikiano kwa shirika hilo kwa kuwa wao ndio ngazi ya mwanzo ya serikali.

Kwa pamoja masheha hao wa wilaya ya mjini wamesema watazidi kutowa ushirikiano ili kuhakikisha katika shehiya zaowanayatolea taarifa  matukio yanayotokea katika shehiya zao.

Comments are closed.

Powered by Live Score & Live Score App